Timu ya Netibali ya Ofisi ya Makamu wa Rais inatarajiwa kushiriki katika Ligi ya Netibali ya Muungano itakayoanza rasmi kesho Visiwani Zanzibar, mashindano yanayolenga kuimarisha mshikamano na k…